BW. GACHEIYA, R. M.

 

BW. GACHEIYA, R. M.
Mhadhiri Msaidizi na mshikilizi wa maswala ya mkataba wa utenda kazi idarani.
Kitivo cha Sanaa na Sayansi Jamii,
Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu
Chuo Kikuu cha Egerton- Bewa la Njoro
S.L.P: 536, 20115 Egerton, Kenya
Simu: +254 - 720 477 709
Barua meme: This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

ELIMU

2011

Masomo ya Shahada ya Uzamifu (PhD) katika Kiswahili- Inaendelea

Chuo Kikuu cha Egerton

2007

Shahada ya Uzamili (M.A) katika Kiswahili

Chuo Kikuu cha Egerton

2004

Shahada ya kwanza (B.A) katika Kiswahili and Soshiolojia

Chuo Kikuu cha Egerton

UTAALAMU na NYANJA PENDELEVU ZA UTAFITI

Utaalamu: Isimu, Uchanganuzi matini/usemi, Tafsiri na Mawasiliano na utumizi lugha.

Nyanja za utafiti: Uchanganuzi usemi, Isimu jamii hususan matumzi lugha katika midahalo nasaha, tambiko mbadala katika jamii nyumbufu.

TAJIRIBA YA KAZI

June 2013 hadi sasa

Mhadhiri Msaidizi- Chuo kikuu cha Egerton

2009 hadi 2013

Mhadhiri wa muda katika Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu- Chuo kikuu cha Egerton na Laikipia

2007 hadi 2013

Msimamizi na mwelekezi wa miradi ya ROSA na CLARA katika Chuo Kikuu cha Egerton- Kitengo cha Utafiti.

2006 hadi 2007

Mwalimu wa Kiswahili na Fasihi na mkuu wa Idara ya Lugha katika shule ya wasichana ya Christ the King Academy- Jimbo Katoliki la Nakuru.

MIRADI YA UTAFITI

2013

Towards improved Sustainable Sanitation in Learning Institutions; Experiences from Nakuru and Njoro, Kenya.

2011to Date

Uchanganuzi wa Mdahalo Nasaha katika Tambiko Mbadala Kanisani {Utafiti wa Shahada ya uzamifu (PhD)- unaendelea.}

2009

Sanitation Challenges in learning institutions: The case of Nakuru Municipality.

2004-2007

Jinsi Mielekeo na Ukabila huathiri Matumizi ya Lugha Chuoni {utafiti wa Shahada ya uzamili (M.A)}